Chagua lugha yako

Tovuti hii itaonyeshwa katika lugha utakayochagua.

quote-1

Rasilimalina vipakuliwa

quote-2

Rasilimali na vipakuliwa


Resource todo

Seti ya wadau na rasilimali za kampeni

Wadau wanahimizwa kushiriki rasilimali zilizomo kwenye seti hii ili kuwawezesha wagonjwa, familia na jamii kupata huduma zao za afya kwa kujiamini, bila kujali lugha.

Resource todo

Kifafanuzi cha Kanuni za maadili

Watafsiri na wakalimani waliothibitishwa na NAATI wamefungwa na kanuni za maadili na kanuni za mwenendo. Hii ina maana kwamba unaweza kumwamini mtafsiri au mkalimani yeyote aliyethibitishwa na NAATI, sawa na imani unaompa daktari au mhasibu.

Resource todo

Kuchagua mtaalamu anayefaa kwa kazi hiyo: Muhtasari wa sifa za thibitisho za NAATI

Mfumo wa Uthibitishaji wa NAATI unajumuisha sifa tatu za mtafsiri na sifa sita za mkalimani. Mwongozo huu utakusaidia kuelewa kila sifa ni ya nini.

Resource todo

Jinsi ya kuandaa hati yako kwa ajili ya kutafsiri

Kuandaa hati yako vizuri kabla ya kutafsiri husaidia watafsiri kufanya kazi kwa ufanisi zaidi na kuhakikisha unapata tafsiri sahihi na ya ubora wa juu.

Resource todo

Kuelewa gharama za tafsiri na ukalimani

Hakuna jibu moja la "Je, kazi hii itagharimu kiasi gani?". Bei ya kila kazi inategemea huduma, uzoefu wa mtaalamu na mahitaji ya mteja.

Resource todo

Jinsi ya kufanya kazi na mkalimani

Kufanya kazi na mkalimani hukusaidia kuwasiliana vyema na watu wanaozungumza lugha tofauti na wewe. Fuata miongozo hii ili kuhakikisha uzoefu wa kitaalamu kwa kila mtu anayehusika.

1-6 of 13 results

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Inategemea na mahitaji yako. Soma makala yetu “Kuchagua mtu binafsi au mtoa huduma wa lugha” kwa mwongozo zaidi.

Watafsiri na wakalimani wengi hufanya kazi kwa mbali, kumaanisha wanaweza kukusaidia kwa simu au simu ya video. Unaweza kutafuta mtafsiri au mkalimani katika eneo lolote.

Kwa baadhi ya miadi, unaweza kutaka mkalimani awe nawe ana kwa ana. Ikiwa unahitaji mtu ana kwa ana inategemea hali yako, aina ya huduma, na muda wa kuwasilisha. Unaweza kuchuja wataalamu katika saraka ya mtandaoni ya NAATI kwa eneo ili kupata wale walio karibu nawe.

Ikiwa hakuna mtaalamu aliyeidhinishwa na NAATI anayepatikana, kunaweza kuwa na chaguzi zingine kulingana na lugha na hali halisi.

Soma makala yetu “Kile cha kufanya wakati hakuna wakalimani au watafsiri waliothibitishwa na NAATI” kwa mwongozo wa vitendo na hatua zinazofuata.

Sort by

Je, ukurasa huu ulikuwa na manufaa?(Inahitajika)

Maoni yako yanatusaidia kuboresha ukurasa huu. NAATI inatumia maoni haya kuboresha tovuti yetu.

Ukihitaji jibu, tafadhali tumia fomu yetu ya Wasiliana nasi.